Mchele 2 mugs
Tui la nazi 2 mugs
Yai 1 kubwa
Sukari ½ mug
Hiliki ½ kijiko cha chai
Hamira ½ kijiko cha chai
Unga wa ngano 2 vijiko vya chakula
Samli ya kupikia (au mafuta) kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
1.Osha na roweka mchele kiasi masaa kuanzia mawili au zaidi. 2.Saga mchele na tui kwenye mashine ya kusagia (blender) mpaka uwe laini usiwe na chenga. 3.Tia hiliki, hamira na unga wa ngano saga tena mpaka uchanganyike. 4.Mimina kwenye bakuli na uache uumuke kiasi. 5.Ukisha kuumuka changanya sukari na yai 6.Tumia kama kijiko 1-2 cha chai cha samli kwa kukaangia kila kitumbua. 7.Mimina mchanganyiko kiasi kwenye kikarai maalumu cha kuchomea vitumbua. 8.Kitumbua kikiiva upande mmoja, geuza upande wa pili mpaka kiwe tayari. 9.Panga kwenye sahani. unaweza kula vitumbua vikiwa moto au vikishapoa
1- Rice 2 mugs
2- Coconut milk 2 mugs
3- 1 large egg
4- Sugar ½ mug
5- Cardamom (elaichi) ½ tsp
6- Yeast ½ tsp
7- All purpose flour 2 tbsp
8- Ghee or oil as desired
Method
1- Soak rice for at least 2 hrs
2- Blend rice and coconut milk until fine texture
3- Add yeast and cardamom and blend further until mixed
4- Pour into a mixing bowl and let sit until increase in volume
5- After attaining volume, add sugar and egg
6- Use about 2 tsp for every vitumbua to cook
7- Pour mixture in vitumbua cooking pan about ¾ full
8- Cook one side and flip it with a metal skewer
9- Set on plate after cooking and serve while warm...
No comments:
Post a Comment